Docstoc

iFOMU_YA_MAOMBI_YA_KUJIUNGA_NA_CHUO[1]

Document Sample
iFOMU_YA_MAOMBI_YA_KUJIUNGA_NA_CHUO[1] Powered By Docstoc
					                                                                                Mwaka:2009
                                                                                Namba:              MAMLAKA YA MAFUNZO NA UFUNDI STADI – VETA
              FOMU YA MAOMBI YA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI                                             PICHA
                  VYUO VINAVYOMILIKIWA NA VETA NCHINI

A. MAELEZO NA MAOMBI YA MWOMBAJI

1.Jina la mwombaji:…………………………………………………...……………….……………………….…………………………………………………. Mme/Mke.
                                           (Majina Matatu)
2.Tarehe ya Kuzaliwa: ………………………………………….……………..Mwezi:………………………………………………..Mwaka: …………………………………………
3.Anuani ya mwombaji: Sanduku la posta:……………………………………….………… Namba ya simu: …………………………………………………………………..
Barua Pepe:………………………………………………………..……………… Mahali unapoishi:Mtaa/Kijiji: ……………………………………………………..………………..
Wilaya:………………………………..…………………….Mkoa: …………………….……………………………..…… Elimu: ……..…………..………………………………………..
4.Jina la Mzazi/Mlezi/Mfadhili:……………………………………………………………………………………Uhusiano:………………………….…………………………………..
5.Anuani ya Mzazi/Mlezi/Mfadhaili………………………………………………………………………………………….…………………………………………………………………
6.Andika fani tatu ambazo ungependa kusomea kufuatana na kipaumbele chako (nyuma ya karatasi hii kuna orodha ya fani mbalimba li)


      (i)     …………………………………………………………….……………………………………………………(Chaguo la Kwanza)
      (ii)     …………………………………………………………………….……………………………………………(Chaguo la Pili)
      (iii)    …………………………………………………………………………….……………………………………(Chaguo la Tatu)


7.Ukichaguliwa ungependa kukaa:
   (Weka alama “√” katika kisanduku husika) Bweni                   Kutwa


8.Andika jina la Chuo unachopenda kusoma…………………………………………………………………………………………………………………………………………….
   (Nyuma ya karatasi hii, kuna orodha ya vyuo vyote vya VETA nchini na fani zinazofundishwa).
9.Taja kituo utakachofanyia mtihani wa kujiunga na chuo ...... ....................................................................................................................
   (andika jina kamili la chuo)


B: MAELEKEZO YA MUHIMU
  (a) Mtihani wa kujiunga na chuo utafanyika tarehe…………………………………………………….saa……………………………………Kit uo……….………………….
     Unapaswa kuripoti nusu saa kabla. Fika na cheti cha kuhitimu shule/chuo na nakala yake halisi kwa ajili ya kutunza kumbukumbu , kalamu
     ya wino, penseli, picha moja (passport size), fomu hii pa moja na risita uliyopewa wakati unalipia fomu hii. Hakikisha unakuja na vifaa
     vyote kama vilivyoorodheshwa hapa juu.


  (b) Mafunzo yataanza tarehe:…………………………………………………………………………….…………………………………………………………………………………..
  (c) Gharama ya fomu hii ni Tshs. (kwa maneno) ELFU TATU (kwa tarakimu) Tshs. 3,000/=


C: UTHIBITISHO


  Ninathibitisha kuwa nimesoma na kuelewa yaliyo katika fomu hii, na maelezo niliyotoa ni sahihi.


  (a) Sahihi ya Mwombaji:………………………………………………………………………………… Tarehe:……………………………………………….……………………
  (b) Sahihi ya Mzazi/Mlezi/Mfadhili…………………………………………………..……………… Tarehe:…………………………………….………………………………
                                              1
                              JEDWALI A

ORODHA YA VYUO VINAVYOMILIKIWA NA VETA NCHINI
NA. MKOA      JINA CHUO CHA UFUNDI   ANUANI NA SIMU             MAHALI             FANI
                                                          ZINAZOFUNDISHWA
1   DODOMA     Chuo cha Mafunzo ya Ufundi na  S. L. P. 2197 Dodoma.    Dodoma Karibu na CBE.      6,7,8, 10,11,22,23,24,
            Huduma Dodoma.                                        27,28, 29,
2   SINGIDA     Chuo cha Ufundi Singida     S. L. P. 40274 Singida.   Mtwaa wa Mtanda.        6,7,10,22,31
3   DAR ES SALAAM  Chuo cha Mafunzo ya Ufundi na  S. L. P. 40274 Dar es    Chang’ombe Road.        2,3,4,6,8,10,11,14,16,18,
            Huduma Changombe (Kutwa).    Salaam.                           19,20,21,22,23,25,26,
                                                          29,30,35,36,
4   MOROGORO    Chuo cha Ufundi Dakawa.     S. L. P. 1696 Morogoro.   Dakawa km. 60 kutoka      28, 24, 10, 6, 39
                                          Morogoro.
5   MOROGORO    Chuo cha Mafunzo ya Ufundi na  S. L. P. 2208 Morogoro.   Kihonda Wing along Dodoma    1, 5, 6, 10,11,13,30,20, 2,
            Huduma Kihonda.                       Road (15km from Morogoro).   28, 19, 24.
6   MOROROGO    Chuo cha Mafunzo ya Ufundi na  S. L. P. 110 Mikumi.     Mikumi (120km kutoka      6, 7, 19, 18, 27, 20. 11.
            Huduma Mikumi.                        Morogoro).
7   IRINGA     Chuo cha Mafunzo ya Ufundi na  S. L. P. 818 Iringa.     Iringa mjini caribú na uwanja  24, 36, 22, 32, 6, 19, 10,
            Huduma Iringa.                        wa samora.           20, 28, 27.
8   SONGEA     Chuo cha Ufundi Songea.     S. L. P. 902 Songea.     Songea mjini karibu na     19, 28, 32, 27, 20, 10.
                                          uwanja wa sabasaba.
9   KAGERA     Chuo cha Mafunzo ya Ufundi   S. L. P. 906 Bukoba.     Bukoka mjini.          6, 19, 28, 32, 10.
            Bukoba
10   MARA      Chuo cha Mafunzo ya Ufundi   S. L. P. 188 Musoma.     Musoma mjini.          19, 24, 22, 10, 32.
            MAra
11   MWANZA     Chuo cha Ufundi na huduma    S. L. P. 1983 Mwanza.    Eneo la Nyakato.        18, 20, 32, 10, 6, 24, 19,
            Mwanza.                                           22, 12, 7.
12   ARUSHA     Chuo cha Mafunzo ya Ufundi   S. L. P. 509 Arusha.     Eneo la Oljojoro.        6, 19, 11, 32, 24, 10, 28.
            Arusha
13   KILIMANJARO   Chuo cha Ufundi na huduma    S. L. P. 1738 Moshi.     Market Stree, near SIDO     7, 29, 18, 35, 34, 32, 2,
            Moshi                            estate/old Moshi Aiport.    33, 38, 9, 15, 37, 40.
14   TANGA      Chuo cha Mafunzo ya Ufundi na  S. L. P. 1204 Tanga     Eneo la Gofu.          10, 20, 18, 32, 6, 19, 24,
            Huduma Tanga.                                        22, 28, 7, 4, 5.
15   MTWARA     Chuo cha Mafunzo ya Ufundi na  S. L. P. 58 Mtwara.     Eneo la Shangani.        19, 28, 24, 27, 32, 20, 5,
            Huduma Mtwara.                                        10, 7, 16, 22, 6, 41.
16   MBEYA      Chuo cha Mafunzo ya Ufundi na  S. L. P. 1020 Mbeya.     Eneo la Mwanjelwa        20, 10, 5, 18, 6, 32, 4, 28,
            Huduma Mbeya.                                        7, 24, 19, 27, 22.
17   RUKWA      Chuo cha Ufundi Mpanda.     S. L. P. 190 Mpanda.     Mpanda Mjini.          6, 1, 32, 20, 19, 28.
18   SHINYANGA    Chuo cha Ufundi Shinyanga.   S. L. P. 470 Shinyanga.   Shinyanga Mjini.        28, 10, 6, 32, 20, 19.
19   TABORA     Chuo cha Mafunzo ya Ufundi na  S. L. P. 1218 Tabora.    Eneo la Sido          13, 14, 19, 6, 28.
            Huduma Tabora.
20   TABORA     Chuo cha Ufundi Ulyankulu.   S. L. P. 111 Tabora.     Ulyankulu km.90 kutoka     6, 10, 19, 24, 32, 28.
                                          Tabora Mjini.
21   KIGOMA     Chuo cha Mafunzo ya Ufundi na  S. L. P. 1068 Kigoma     Kigoma Mjini          28, 6, 20, 5, 4, 19, 10, 32,
            Huduma                                            27, 41, 24, 2, 37, 7, 42, 43

                              JEDWALI B
AINA  YA FANI NA CHUO KINACHOFUNDISHA
NA.  AINA YA FANI NA CHUO KINACHOFUNDISHA              NA.    AINA YA FANI NA CHUO KINACHOFUNDISHA
1   Agro Mechanics (AM)                       22    Plumbing & Drainage (PD)
2   Air Conditioning & Refrigeration (AR)              23    Printing Courses (P) DSM
3   Armature & Motor Rewinding (AMR)                24    Road Construction (RC)
4   Auto Body Repair (ABR) DSM.                   25    Secretarial and Computer (SC)
5   Auto Electric (AE)                       26    Tailoring (TL)
6   Carpentry and Joinery (CJ)                   27    Tool and Dye Making (TD)
7   Hospitality courses                       28    Truck Driving
8   Civil draughting (CD)                      29    Truck Mechanics (TM)
9   Diesel Engine Mechanics (DEC).                 30    Welding & Fabrication (WF)
10   Electrical Installation (EL).                  31    Pipe fitting and Boiler Mechanics
11   Fitter Mechanics (FM).                     32    Pattern Making.
12   Ginnery fitting (GF)                      33    Machine tool Maintenance
13   Handloom Weaving (HW)                      34    Fitter Machinist
14   Information Technology (IT)                   35    Electronics
15   Instrument Mechanics (IM)                    36    Industrial Electrical Fitter
16   Laboratory Assistance (LA)                   37    Leather Goods
17   Machine Tool Repair (MTR)                    38    Mechanical Draughting
18   Masonry and Bricklaying (MB)                  39    Commercial courses
19   MV Mechanics (MV)                        40    Black Smith
20   Office Machine Mechanics (OMM)                 41    Boat Making
21   Painting and Sign Writing (PS)
NB:    Fani zilizopo kwenye Jedwali B zinapatikana kwenye Chuo inavyoonyesha kwenye Jedwali A mfano no. 6 Capentry and
     Joinery inaonekana iko Dodoma, Singida, DSM, Morogoro na kila palipo sita No. (6).

                                 2

				
DOCUMENT INFO
Shared By:
Categories:
Tags:
Stats:
views:234
posted:10/2/2011
language:English
pages:2