CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA (TPSC)

Document Sample
CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA (TPSC) Powered By Docstoc
					 CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA
        (TPSC)



 HUDUMA BORA KWA MTEJA

 MTAYARISHAJI

 CHARLES RWEKAZA

 WIZARA YA AFYA
 OCTOBER, 2006


8/17/2010     huduma kwa mteja  1
   MADHUMUNI NA MATARAJIO YA
       MADA
 Kuwapatia washiriki ujuzi,mbinu na
 maarifa ya kuwahudumia wateja

 Kuwawezesha washiriki kutumia mbinu za
 kisasa za kuwahudumia wateja ili kuondoa
 malalamiko
 Kutoa picha nzuri ya wizara
 Kumhudumia mteja kwa ukarimu
8/17/2010    huduma kwa mteja    2
      YALIYOMO KWENYE MADA
•  Utangulizi
•  Ushindani wa kibiashara
•  Mbinu za ushindani
•  Huduma bora kwa mteja
•  Kumhudumia na kumridhisha mteja
•  Vyanzo vya kutoelewana na mteja
•  Malalamiko ya wateja
•  Wateja wenye matatizo
•  Mkataba wa huduma kwa mteja wa Chuo cha
  Utalii Tanzania.

8/17/2010     huduma kwa mteja      3
       UTANGULIZI


Chimbuko la huduma kwa mteja ni soko
 huru na ushindani wa kibiashara
 uliojitokeza duniani ambao
 umesababishwa na mabadiliko ya :
• kiuchumi
• kisiasa (vyama vingi)
• Elimu inayoambatana Teknolojia ya kisasa
• kijamii
8/17/2010    huduma kwa mteja    4
 Ushindani wa kibiashara na mbinu zake

Ushindani wa kibiashara:
• Kutoa huduma bora kwa mteja
• Kutoa huduma bora zinazokubalika kimataifa.
Mbinu za ushindani:
• Mahali pa biashara
• Vifaa vya kazi vya kisasa
• Elimu ya kutosha kwa wafanyakazi
• Nidhamu ya kazi na kujituma
• Kufupisha muda wa kusubiri kupata huduma

8/17/2010     huduma kwa mteja       5
      Huduma bora kwa mteja

Inatambuiliwa kwa vigezo vifuatavyo:

• Mahali panapotolewa huduma.
• Utaratibu wa utoaji huduma
• Sura na tabia za watoa huduma.




8/17/2010     huduma kwa mteja  6
         Mteja

Mteja ni nani?
Ni mtu yoyote anayetaka huduma kutoka
kwetu.
Aina za wateja
Wateja wa ndani:
 Ni wenzetu au wakuu wetu wa kazi ambao
 wanataka huduma kutoka kwetu

8/17/2010    huduma kwa mteja     7
       endelea…
Wateja wa nje:
  Ni wateja wanaotaka huduma zitolewazo
 na taasisi na ndiyo madhumuni ya kuwepo
 kwa taasisi`
 Sifa za mteja:
 Mteja yeyote awe wa ndani au wa nje ana
 sifa zifuatazo
• Mteja ni binadamu anastahili heshima

8/17/2010    huduma kwa mteja    8
        endelea…
• Mteja ana akili timamu,ana uwezo wa
 kuelewa kuchukia na kufurahi
• Mteja ndio madhumuni ya kuwepo kwetu
 kazini
• Mteja ndiye mwajiri halisi anayetoa fedha
 na kutuwezesha kupata mshahara
• Mteja ni rafiki anayetuamini na huja kwa
 msaada
8/17/2010     huduma kwa mteja      9
       endelea…
Matakwa na matarajio ya mteja:
Mtu anapokuja kwa mtoa huduma huwa
 anataka vitu viwili
• Kutimiziwa matakwa .kwa mfano ,anataka
 kumuona afisa fulani
• Kukidhi matarajio yake



8/17/2010    huduma kwa mteja    10
  Kwa nini tuongelee kumridhisha
        mteja?
•  Kukwepa aibu (embarassment)
•  Kuvutia wateja wapya
•  Kubaki na wateja tulionao
•  Kutimiza matarajio ya wateja




8/17/2010     huduma kwa mteja  11
      Kumhudumia mteja

Sababu za kupoteza wateja;
• Kuhamia sehemu nyingine
• Kushawishiwa na marafiki
• Kupata bidhaa au huduma bora zaidi
 kutoka kwa taasisi nyingine
• Kutoridhika na bidhaa au huduma
• Kutoheshimiwa na watoa huduma

8/17/2010    huduma kwa mteja   12
      Msimamo wa watoa huduma

Ili kuweza kushindana kibiashara inabidi
  wafanyakazi wote kubadili
  msimamo.Inabidi;
• Wathamini watu wote kwa ujumla na
  kuwaheshimu
• Wawe na tabia ya kujiamini



8/17/2010      huduma kwa mteja    13
      Mawasiliano kwa wateja

• Zipo njia tatu za kuwasiliana:

• Mawasiliano ya mdomo

• Mawasiliano ya maandishi

• Mawasiliano ya ishara

8/17/2010     huduma kwa mteja  14
      Matatizo ya mawasiliano

•  Kutumia ishara zisizoeleweka
•  Kushindwa kuitafsiri taarifa
•  Kutosikiliza vizuri
•  Kutuma taarifa isyotarajiwa
•  kutoelewa lugha inayotumika
•  Kutojieleza vizuri


8/17/2010      huduma kwa mteja  15
      Matatizo ya mawasiliano

•  Kutumia ishara zisizoeleweka
•  Kushindwa kuitafsiri taarifa
•  Kutosikiliza vizuri
•  Kutuma taarifa isyotarajiwa
•  kutoelewa lugha inayotumika
•  Kutojieleza vizuri


8/17/2010      huduma kwa mteja  16
      Kumridhisha mteja

Mambo muhimu ya kuzingatia:
• Sikiliza kwa lengo la kuelewa sio la kujibu.
• Uliza kupata ufumbuzi kama hukuelewa
• Epuka kuchanganya hisia zako katika
 uhusiano.
• Pata picha kamili ya kinachoelezwa.
• Onyesha unajali

8/17/2010     huduma kwa mteja     17
  Lugha inayomkatisha tamaa mteja

• Hutuna vitendea kazi na watu wa kutosha
• Hili haliko kwenye kasma au mpango wetu
• Sijui labda nimuulize mwingine
• Nina shughuli nyingi kwa sasa njoo
 baadae
• Tutalijadili baadae


8/17/2010    huduma kwa mteja    18
       endelea..
• Sio tatizo letu na haliwezekani
• Hivi umeelewa nilichokueleza?
• Unataka nini?
• Subiri kwanza
Vyanzo vya kutoelewana na mteja:
• Kiasikolojia (matatizo ya maisha)
• Kujihami

8/17/2010    huduma kwa mteja   19
    Jinsi ya kumhudumia mteja
Muonekano wako unafanya mteja awe na
 matarajio fulani kutoka kwako.
 Vitu vya kuzingatia:
• Mavazi
• Usafi wa mwili na unavyojijali
• Uonekano wako mbele ya mteja
 Mambo muhimu ya kuzingatia:
• Kuzungumza,kusikiliza na kumsaidia mteja
 ajieleze
8/17/2010     huduma kwa mteja     20
       endelea…
• Kutomkatiza mteja maelezo yake
• Onesha unajali na unaelewa tatizo lake
• Tatua tatizo lake na ujiamini
• Kama haiwezekani ahidi kufuatilia
• Mweleze anachopaswa kutarajia
• Usilaumu wafanyakazi wenzio mbele ya
 mteja unatoa taswira mbaya ya taasisi
• Tumia maneno tafadhali na asante.
8/17/2010    huduma kwa mteja     21
      Malalamiko ya wateja

Wateja hulalamika iwapo hawakuridhika na
 huduma.
 Sababu za kulalamika:
• Matarajio yao hayakutimizwa
• Walishughulikiwa vibaya hata kama
 wamepata huduma au kupuuzwa
• Malalamiko yao hayakushughulikiwa

8/17/2010     huduma kwa mteja     22
      Wateja wenye matatizo

Mteja mwenye matatizo ni aliye kasirika au
 aliyechanganyikiwa na hajui cha kufanya.

 Yatupasa kufahamu kuwa:
• Si mkorofi bali ameathirika na matatizo
• Ni binadamu na anastahili kuheshimiwa
• Hali aliyo nayo hawezi kujieleza
 Jinsi ya kumhudumia
• Mtulize na pata maelezo ya kina
8/17/2010      huduma kwa mteja     23
          endelea..
•  Tafuta jawabu
•  Mwache aseme yanayomsibu
•  Tumia lugha ya upole na ya kirafiki
•  Dhibiti akili na hisia zake kwa kumuuliza maswali
•  Pata kiini cha tatizo na sio dalili za tatizo
•  Tatua tatizo haraka iwezekanvyo
•  Jaribu kumfanya rafiki
•  Muombe radhi mteja

8/17/2010       huduma kwa mteja       24
      Kwa ujumla, tufanye nini?
• Uwajibikaju:-
      • Je una uharaka wa kusaidia?
• Ukarimu:-
      •  Ni mwema?
      •  Ni rafiki?
      •  Unafurahi?
      •  Unamsalimia mteja?
      •  Unaonesha tabia nzuri?
      •  Unatoa huduma haraka?

8/17/2010           huduma kwa mteja  25
           Yaendelea…..
• Uwezo:-
      • Je una mafunzo ya kutosha
• Mawasiliano:-
      • Unawasikiliza wateja?
      • Unawaelewesha?
• Muonekano:-
      • Unakufanya mteja akuamini?
      • Deski lako ni safi?
      • Ulionayo yanasomeka?
8/17/2010          huduma kwa mteja  26
            Yaendelea…..
• Upatikanaji:-
      • Ofisi yako ni safi na inafikika?
      • Kuna urahisi wa kufikia ofisi yako?
      • Je ina usiri wa kutosha?
• A kutegemewa(reliability):-
      • Unatoa huduma kwa kiwango sahihi?
•  Kuaminika(credibility)
•  Lugha sahihi
•  Usiri unazingatiwa(security/confidentiality)
•  Wamuelewa mteja

8/17/2010            huduma kwa mteja  27
      Huduma bora na tabia
Vinakufanya uwe mwenye utaalamu..
• Ulivokaa
• Sauti/unavyoongea
• Haiba yako
• Hisia/mood
• Afya yako
• Kuchangamka/kufurahia(enthusiastic

8/17/2010     huduma kwa mteja  28
      Huduma bora na tabia
• uwezo-:- waelewa, wategemewa,waweza
 mudu mazingira tata, siyo mwoga
• Ethusiastic
• Mvumilivu/unaustahimilivu
• Msikivu
• Mkarimu


8/17/2010     huduma kwa mteja   29
      Huduma bora na tabia
•  Tabia njema/muundo mwema
•  Ustahimilivu wa tamaduni
•  Uvaaji
•  Utiifu
•  uaminifu




8/17/2010     huduma kwa mteja  30
Toa huduma bora kwa mteja
 ili kujenga taswira nzuri ya wizara
 ya afya na kuongeza pato


  asanteni

8/17/2010   huduma kwa mteja    31
      Huduma nzuri kwa wateja
          huleta




            wateja

8/17/2010      huduma kwa mteja  32
      Huleta.....




         mapato

8/17/2010   huduma kwa mteja  33
      Huleta.....




       Mshahara
        juu


8/17/2010   huduma kwa mteja  34
      Huleta.....




       Kuwepo
        kazini

8/17/2010   huduma kwa mteja  35

				
DOCUMENT INFO
Shared By:
Categories:
Stats:
views:7760
posted:8/17/2010
language:Swahili
pages:35