Docstoc

WAFANYAKAZI WA POSTA NA SIMU SAVINGS AND CREDIT_1_

Document Sample
WAFANYAKAZI WA POSTA NA SIMU SAVINGS AND CREDIT_1_ Powered By Docstoc
					      POSTA NA SIMU SAVINGS AND CREDIT
        CO-OPERATIVE SOCIETY LIMITED
               REG. No. DSR. No.118
      P.O. Box 3948 Dar es Salaam Tel: 022-2182267 FAX 2182053
            Email: posta na simu @gmail.com


    TANGAZO LA MKUTANO MKUU WA
     MWAKA TAREHE 17/12/2011NA
         18/12/2011
      KWA WAJUMBE WOTE WA BARAZA LA WAWAKILISHI
    KUTAKUWA NA MKUTANO MKUU WA MWAKA UTAKAOFANYIKA
    TAREHE 17/12/2011 NA 18/12/2011 KATIKA UKUMBI WA NSSF
    WATERFRONT DAR ES SALAAM KUANZIA SAA 3:00 ASUBUHI.

AGENDA:

 1.  KUFUNGUA MKUTANO
 2.  KUTHIBITISHA AKIDI
 3.  KUSOMA NA KUTHIBITISHA MUHTASARI WA MKUTANO WA TAREHE 18-19.12.2010
 4.  YATOKANAYO NA MUHTASARI HUO
 5.  KUPOKEA NA KUJADILI TAARIFA YA HESABU NA MIZANIA YA CHAMA YA MWAKA 2010
 6.  KUIDHINISHA HONORARIA
 7.  KUIDHINISHA MAKISIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2012
 8.  KUIDHINISHA UNUNUZI NA UUZAJI WA MALI ZA CHAMA
9.  KUWEKA UKOMO WA MADENI
10.  KUPOKEA NA KUJADILI TAARIFA YA MAENDELEO YA UTEKELEZAJI KUTOKA KWA BODI
   YA CHAMA
11.  TAARIFA YA KAMATI YA MIKOPO
12.  TAARIFA YA KAMATI YA USIMAMIZI
13.  KUTHIBITISHA KUINGIZA NA KUFUKUZWA KWA WANACHAMA
14.  MENGINEYO (YAWASILISHWE KIMAANDISHI SIKU 14 KABLA YA MKUTANO).
15.  KUFUNGA MKUTANO.


                D.F. NGALAWA
                  MENEJA
                 25.11.2011

				
DOCUMENT INFO
Shared By:
Categories:
Tags:
Stats:
views:0
posted:8/22/2014
language:Latin
pages:1