form ya kujiunga form one BOYS 2013

Document Sample
form ya kujiunga form one BOYS 2013 Powered By Docstoc
					               P.O. BOX 222, MWANGA, KILIMANJARO TANZANIA
           TEL/FAX: 027 2756848, MOBILES: 0713 310 229, 0716 696384, 0717 168331
                 Website: www.greenbirdinstitutions.org
Namba ya fomu………………………….


MAELEZO YA KUHUSU KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2013

A: GREENBIRD BOYS HIGH SCHOOL
  1. Shule iko mkoa wa Kilimanjaro- wilaya ya Mwanga, Km 1.5 kutoka barabara kuu
   ya Dar-es Salaam-Arusha. Shule ni ya wavulana tu nani ya Bweni (Boarding
   school). Shule haina ubaguzi wa dini. Inachukua watoto wa madhehebu yote.

  2. School Motto: SKY IS OUR LIMITZ5.

B: YAHUSIYO MWANAFUNZI
  1. JinaKamili ……………………………………………………………………………
  2. Tarehe ya kuzaliwa …………………………………………………………………...
  3. Taifa ………………………………Kabila……………………………………………
  4. Mkoa ………………………………Wilaya ………………………………………….
  5. Dini ……………………………….. Dhehebu ……………………………………….
  6. Mahali unapoishi ………………………………………………………………………

C: YAHUSIYO MZAZI/ MLEZI
  1. Jina la Mzazi / Mlezi ………………………………………………………………….
  2. Anuani ya Nyumbani ………………………Namba ya simu ………………………..
  3. Anuani ya Kazini …………………………..Namba ya simu ………………………...
  4. Kazi yake ………………………………………………………………………………
  5. Jina la Mama / Mlezi …………………………………………………………………..
  6. Anwani ya Nyumbani ………………………Namba ya simu ………………………..
  7. Anwani ya kazini ……………………………Namba ya simu ……………………….
  8. Kaziyake ………………………………………………………………………………

D: MAAGIZO MENGINE
  1. Malipo ya form hii ni shilingi elfu kumi na tano (15,000/=) tu, zinalipwa zote
   wakati wa kuchukua form. Fedha za form zikishalipwa hazirudishwi. Hakikisha
   unapatiwa risiti. Tunza risiti yako kwani ndicho kitambulisho chako cha mtihani.
E: TAREHE YAKUFANYA MTIHANI
  1. Mtihani utafanyika tarehe 27/10/2012 siku ya jumamosi saa 2:00 asubuhi .
   MAHALI – MSIMBAZI CENTRE (Primary school) Dar es Salaam.
  2. Mwanafunzi afike na vifaa vya kufanyia mtihani mfano; Kalamu, rulan.nk.
  3. Wanafunzi wote wavae sare za shule ya msingi.
  4. Tarehe ya mwisho ya kurudisha form ni tarehe 20/10/2012 na rudisha form kwa
   aliyekuuzia form hii.

Weka alama (v) katika lugha utakayo fanyia mtihani
KISWAHILI                 KINGEREZA


F: AHADI KWA MZAZI
  1. Naahidi kuwa kijana wangu akichaguliwa itabidi aafwate taratibu na maagizo ya
    mwenye shule ya takayo tolewa mara kwa mara ili kuboresha taaluma.
  2. Nakubali kumlipia karo (Ada) ya shule na kumpatia mahitaji mengine yatakayo
    hitajika Shuleni.
  3. Iwapo kijana wangu atafaulu mtihani na kuchaguliwa kujiunga na shule na ahidi
    kulipa kiasi cha Sh 50,000/= kama “Commitment Fees” ili kutunza nafasi ya
    mototo.
    Sahihi ……………………………………Tarehe …………………………………………


   …………………………………….
   PETER MWAU
   MKUU WA SHULE
   GREEN BIRD BOYS HIGH SCHOOL.
REF: KDTF/GBB/JNF/2013Form No. ……….
         JOINING FORM FOR ACADEMIC YEAR 2013

 1. Name of applicant ………………………………………..
   Other names………………………………………………
 2. Surname ………………………………………………….                        Passport size
 3. Your primary school ……………………………………..
 4. Nationality ……………………………
 5. Date of Birth ……………………. Age …………………
 6. Address …………………………..
   (District)………………………………….....
   (Region)……………………………………
 7. Parent occupation…………………………………………..
 8. Emergence contacts
   Name……………………………………………………….
   Phone No.1 ………………………..
   Phone No.2 ………………………..
   Relationship…………………………………………………
 9. Religion ………………………………
 10. Medical information
   Physician name……………………………
   Phone No…………………………………
   Allergies (if any)…………………………………
   Medications (if any)…………………………………

 11. Interview will take place at MSIMBAZI CENTER, subjects for interview will be
   Mathematics, Language & Maarifa ya jamii (social studies). Exams will resume at 8:00
   am to 10:00 am. All students should put on their school uniforms on interview day.
   Parents/ Guardians will be informed on the interview date.
12. Parents declarations
  I …………………………………………. Parent/Guardian of named above students
  declare to seek the form………class for the academic year 2013 and that I am willing to
  cooperate with the school in all admission instructions that will be provided to me.
  Signature……………………… date……………………………..
     This form cost TZS 10,000/- only and not otherwise ask for receipt when you buy it.
      Return the form where you bought or you can post it through above address.

				
DOCUMENT INFO
Shared By:
Categories:
Tags:
Stats:
views:7
posted:10/23/2012
language:Korean
pages:5