ADVERT ST AGGREY HEALTH INSTITUTE

Document Sample
ADVERT ST AGGREY HEALTH INSTITUTE Powered By Docstoc
					         ST.AGGREY HEALTH INSTITUTE
UONGOZI WA CHUO KIPYA CHA AFYA ST. AGGREY HEALTH INSTITUTE -MBEYA
UNA FURAHA KUWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO YA AFYA (NTA LEVEL 4,5&6) KWA KOZI ZIFUATAZO
:-

  1. NURSING SCHOOL-CERTIFICATE NA DIPLOMA,
  2. LABORATORY TECHNICIAN-CERTIFICATE NA DIPLOMA
  3. CLINICAL OFFICER-CERTIFICATE NA DIPLOMA

   -  SIFA NA VIGEZO VYA KUJIUNGA KWA MUJIBU WA WIZARA YA AFYA
   -  MWOMBAJI AWE AMEMALIZA KIDATO CHA IV NA VI NA KUFAULU MASOMO YA SAYANSI
     HASA BIOLOGY NA CHEMISTRY
   -  CHUO NI CHA KUTWA NA BWENI MCHANGANYIKO
   -  ADA NI NAFUU MNO
   -  COMPUTER ZIPO ZA KUTOSHA DARASANI
   -  CHUO KINA MAZINGIRA BORA NA VITENDEA KAZI VYA KISASA PIA HOSPITALI JIRANI KWA
     MAFUNZO YA VITENDO(INTERNSHIP)
   -  MAABARA ZENYE VIFAA VYA KUJIFUNZIA.
   -  MAKTABA YENYE VITABU VYA KUTOSHA.
   -  CHUO KINA WAKUFUNZI MAHIRI


       FOMU ZINAPATIKANA KWENYE VITUO VIFUATAVYO

   1. CHUONI ST. AGGREY CHANJI SUMBAWANGA NA ST. AGGREY MBEYA
   2. DAR ES SALAAM-BENJAMINI MKAPA KARIAKOO.
   3. SUMBAWANGA-MANYIKA STATIONARY.
   4. MPANDA-MWANDELE COMMUNICATION TWO WAY.
   5. MWANZA-CHARULI STATIONARY MLANGO MMOJA JENGO LA VIJANA.
   6. SONGEA-MAEDA MEDICAL STORE- INATAZAMANA NA CCM MKOA
   7. TABORA KWENYE OFISI ZA MKUU WA WILAYA
   8. ARUSHA PIGA SIMU 0754780303
   KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NA:-
   0754 – 284269/ 0754- 885369/ 0754- 402469
   AU TUTEMBELEE KWENYE WABSITE
   www.saintaggreyschools.com email saintaggreyschools@yahoo.com

   WAHI SASA TUMA MAOMBI KWANI NAFASI NI CHACHE MNO
KARIBUNI WOTE

				
DOCUMENT INFO
Shared By:
Categories:
Tags:
Stats:
views:1243
posted:2/26/2012
language:
pages:2