Docstoc

CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA

Document Sample
CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA Powered By Docstoc
					            CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA
               TAASISI YA ELIMU ENDELEVU

        KITENGO CHA KOZI YA MAANDALIZI (FOUNDATION COURSE).
                 OFC 005:   KISWAHILI.

               JARIBIO LA KWANZA: 2007.MAELEKEZO:

      Jibu maswali mawili tu.
      Majibu yako yatufikie kabla ya mwezi Aprili, 2007.
      Usisahau kuiandika Majina na Namba yako ya kusjiliwa mahali
      panapotakiwa.1.    Zibainishe    (a) silabi;   (b) viambishi awali; na (c) viamnbishi tamati
     katika neno lifuatalo:

     ‘palipochanikia.’

2.    Fafanua umuhimu wa fasihi simulizi katika Jamii ya Watanzania huku ukitoa
     mifano.

3.    Fafanua tofauti za kimatamshi kati ya irabu [a], [i] na [u].

4.    (a)  Eleza maana ya sentensi.

     (b)  Eleza tofauti kati ya sentensi huru, na sentensi changamano. Toa mifano
        muwafaka.
            CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA
               TAASISI YA ELIMU ENDELEVU

      KITENGO CHA KOZI YA MAANDALIZI (FOUNDATION COURSE).
                OFC 005:    KISWAHILI.

                JARIBIO LA PILI: 2007.


MAELEKEZO:

      Jibu maswali mawili tu.
     Majibu yako yatufikie kabla ya mwezi Agosti, 2007.
     Usisahau kuiandika Majina na Namba yako ya kusjiliwa mahali
     panapotakiwa.1.    Fafanua jinsi sauti [t], [d], [n], [s] zinavyotamkwa.


2.    Zieleze dhana ya mofu na alomofu huku ukitoa mifano muafaka.


3.    Viainishe vipashio vya sentensi zifuatazo kwa njia ya matawi:


         (a) Baba mkubwa alinunua kitabu.

         (b) Mama na Baba wanalima shamba letu.

4.    Tunga sentensi yenye (a) kiima, (b) kitenzi, (c) yambwa,
            (d) yambiwa.

5.    Fafanua umuhimu wa fasihi andishi katika Jamii ya Watanzania huku ukitoa
     mifano.

============================================================

				
DOCUMENT INFO
Shared By:
Categories:
Tags:
Stats:
views:808
posted:12/7/2011
language:
pages:2